TANGAZO MUHIMU
*TCU imetambulisha mtihani unaoitwa "Recognition of Prior Learning(RPL)" kwa wale wote waliokosa vigezo vya kujiunga na degree.
*Mtihani unafanyika chini ya TCU kwa vituo vilivyoainishwa, na kwa wale watakaofaulu mtihani watapata nafasi yakujiunga na degree chuo chochote hapa nchini kwa mwaka huu wa masomo
*Muda wa maombi ni kuanzia 01.06.2017 mpaka 24.06.2017
*Kwa Maelezo zaidi tafadhali piga 0759009281, 0655414145 au 0778888960
*Tusambaze ujumbe kwa ndugu zetu walioshindwa kusoma degree kwa kutokidhi vigezo, hii ni FURSA ya kipekee!
*Karibuni Sana
*The Open University of Tanzania.
Facebook Blogger Plugin by UNIVERSITYFORUM
Post a Comment