Harakati za Uongozi zimepamba moto chuo Kikuu cha Dar es Salaam. 

Haya ndio majina yaliyorudishwa na kamati ya uchaguzi chuoni hapo Katika Uchaguzi wa President wake:

SABA BORA DARUSO PRESIDENTIAL CANDIDATES 2017/2018:
1. John Jeremiah 3yr
2. Mahamaudu,Abdul O, 2yr3
3. Emmanuel Paul E.2yr
4. Livin Kimario Did as 1yr
5. Mtonda Abdullah S 2yr
6. Richard Augustine 2yr
7. Ntele Joseph H 2yr
          


Facebook Blogger Plugin by UNIVERSITYFORUM

Post a Comment

 
Top